Lawyer alikuja kuongea na Junior,ni baada tu ya kumaliza phone call na akamwambia ashaongea na some uncles wanakuja na akauliza Junior,ushaambia Sally kuhusu huu msiba? Junior akamwambia story ya Sally kiasi inachanganya but usijali ukitaka kujua Sally tune in to Maisha Magic Plus CH 3 hapo kwa Gotv ama ukule nyama unyamaze. Lawyer alishinda sana but itabidi afanye chenye ameambiwa na sasa anashindwa hii story ya divorce ataendelea ama akanyagie? Watoto wa Martha atawalea aje…
Trisha,sherehe si sherehe,anashika picha ya Martha kwa furaha sana but akisikia mtu anakuja,anajifanya analia. Junior aliingia akamwambia babe, you have to be strong for the visitors. Trisha analia kweli kweli. Junior alimuuliza kama ameona Lexy? Akamwambia ako kwa room yake.
Tito na Sanchez wametokea mrando ndio wanarudi mtaa na kumbe walipitia kwa mama pima wakachapa pombe kiasi but si ile ya kulewa,they are good guys,hawalewi kama nyinyi.
Kama kuna mtu hii kifo cha Martha kimehit sana ni Lexy,juzi tu anakutana na mamake,sai ati ashaaga,mambo gani haya wajameni. Kako kwa room yake,kanalilia tu kwa pillow. Kalichukua simu kamcall Sanchez,akamwambia manze nataka kuongea na Tito. Tito hana simu by the way. Sanchez alimpea Tito simu akamwambia Tito,manze mathe amepass. Tito alimwambia acha ujinga,this aint a good joke lakini Lexy alimwambia niko serious,madhe amepass.
Sanchez alipata hiyo habari akashtuka,si jana tu wamekua sawa na Martha na alikua tu fiti hizi ni gani tena? Tito alimwambia teke,twende kwa kina Junior tupate info full kuhusu hii story.
Guu mosi,guu pili,Tito na Sanchez walitoka kuenda kwa kina Junior but kufika kwa baro,walikutana na Shantel akilia. Tito akamuuliza rada? Shantel akamwambia please Tito nataka tu kuomba msamaha lakini Tito na ile hasira ako nayo alikasukuma akakaambia sidai riba zako hata kidogo. Sanchez pia akaambia Shantel,usiwai fika mtaa yangu
Sanchez anakuja jikoni kuongea na Becky akimwambia ile story ya Shantel but Becky akamwambia hakujamia Sanchez ni venye hakua anajua ukweli but sai ashajua ukweli,ako tu sawa sasa even though hajaongea na Tito. Sanchez alimsaidia Becky kupanga vikombe.
Turudi kwa mzee wetu,anawatch news anaona haya kwani Martha ako na msichana anaitwa Lexy? Alishangaa hadi akajiuliza,how is this even possible? Kuliendaje,kukawaje na kutakuaje? Mzee wetu alikuja kwa room fulani na kwa hii room kuna mamaa amekaa hapo ameshika nguo za mtoto na hapo mbele yake ni picha ya Lexy,mako….makosa. Huyu sasa ndio mamake Lexy anaitwa Imelia.
Imelia,ambaye ni mamake Lexy ako uhai ndio but ana ugonjwa fulani,she can’t move,she cant talk she is just there. Mzee alikuja akamwambia Imelia,how I wish ungekua in a good state of mind nikuimbie your long pressumed dead daughter is alive.
Tito alikuja akaongea na Lexy but Lexy akamwambia mimi naona nikirudi kwa streets. Tito akamuuliza mbona na huku ndio kwenu? Lexy akamwambia si unaona Trisha hanitaki huku. Tito akamwambia zii, hutoki huku na hata Junior haezi allow na ikiwa mambo yatakua mbaya,unaeza ukae kwangu huko ghetto. Walihugiana hapo na kwa ile hug,Becky akawapata ready handed
Becky alikua amekuja kuita Lexy kuna meeting huko kwa nyumba na akabaki hapo kuongea na Tito kiasi. Waliongea mengi kuhusu Shantel na hata Becky akaomba msamaha. Tito alimwambia ako fiti na hata Becky akamuuliza kama anaeza kuja kejani jioni apike supper wakule. Mmmh Tito alimwambia haina shida, nitakam hivyo bora tu usipike matumbo Imagine leo jioni Tito anaenda kwa Becky kukula matumbo na matumbo…
Mkutano ushaanza,story za mazishi zishanza kutayarishwa na already committee ishatengenezwa,akina uncle,shosho na aunty washafika already. Budget ya mazishi ishafika 700k na 25k za afkado,at least nimekumbukwa na mazishi itakua next week saturday, na nyote mnakaribishwa