Home ENTERTAINMENT Entertainment Updates Becky Friday 15th March 2024 Full written update

Becky Friday 15th March 2024 Full written update

81
0

Trisha kuna mtu anaongea na yeye lakini kumbe,jamaa anaongea na yeye hakua ready akamuuliza si ulisema uko flexible,kunaendaje tena its happening tonight,lakini jamaa akamkatia simu Becky na Junior walimleta chakula kwa room yake wakamwambia ju ulisema if anything happens kwako ni sisi tutakua answerable, tumeona tukuletee chakula ukule. Trisha akaona aaaai mko sure hii hamjaeka sumu akafungua kumbe badala ya kuletewa ugali na kuku akule,ameletewa ugali na  saviet akitaka kukula ni achukua ugali ashike na saviet akule bila mboga. Madharau!

Becky ndio wanarudi seating room na huyoo Trisha akatoka,Bekcy akamuuliza haya,kwani ushamaliza food,nikama ulikua na njaa all in all message delivered,madharau served and now Trisha anakasikia kukasikia. Amelia akawaambia kuna idea nimepata,what if nyinyi wawili mkuje kuishi huku? Becky na Junior wakashtuka,what! Amelia akasema yeah,wewe na Junior mkuje muishi huku.

Moh na yeye alikuja akaambia Sanchez sikiza, unaeza danganya kila mtu but si mimi,its either Trisha alikuthreaten ama mliconspire na yeye. Sanchez akamwambia wee bweka tu venye utabweka,but siezi expect mtu kama wewe uniamini na wewe ongea ukimaliza uniambie. Moh akamwambia nishakupata,wewe na Trisha mliua Martha. Sanchez akamwambia acha ufala,nimekuja huku na amani,but naona unataka kunipush kwa wall. Moh akamwambia sasa sikiza,kuna kitu unaeza fanya ninyamazie,Sanchez akamuuliza nini hiyo? Moh akamwambia enda uonge na Amelia anipe cut ya mali yangu. Sanche akamwambia ujinga,kwanza wewe unaongea na sai shukuru sana Lexy ako alive na hajui ni wewe ulikua unamuua…makosa ikawa,kumbe Lexy alisikia,akakuja akauliza Sanchez,nani alitry kuniua? Moh akataka kuongea lakini Lexy akamwambia sijakuuliza wewe,nimeuliza Sanchez. Sanchez akaambia Lexy sikiza, ndio ujipate ICU haikua intentional ni Moh alikusukuma,wah! Makosa. mdomo wa Moh ushamponza sasa.

Becky na Junior wako resistant kuja kuishi huku na wakaambia Amelia for now wako happy pamoja. Amelia akawaambia relax, si hata mnipe nafasi niongee,sijasema mhamie huku kabisa,nataka iwe temporary na chenye natka tu tuUpset Trisha hadi mwenyewe afeel tu kutoka kwa hii hao. Becky akamwambia madhe hii idea yako,zii haiezi. Amelia akasema its ok nilikua nasuggest tu.

Wakati huo huo, Amelia akapigiwa simu na Sanchez,Sanchez akamwambia madhe,fika mansion haraka,kuna nini? Huku kimeumana.Amelia kusikia hivyo,alitoka teketeke,kumbe kwa mansion,maskini wa Mungu Moh amedungwa dungwa visu na Lexy,mbaya mbovu. Isitoshe hivyo,Moh akijarbu kuhepa,Lexy amemfuata na kirungu kingine kikubwa,kasoro kichwa cha mkuu Pauline,ilibidi Sanchez auje mbio kumahsika Lexy lakini ile mori Lexy amekula..manze Moh hana bahati.


Moh alichechemea kwa uchungu sana akatoka nje ya gate. Sanchez akamfuata aakamwambia si nilikuambia uondokee lakini Moh akamwambia ushaniharibia maisha na kaa ukijua,one day one time, I will be back and I will be back prepared kuwamaliza. Moh,huyoo akaondoka mansion na alama za visu kwa tumbo huku analia tu.

Becky na Junior ndio wanafika na Jeff kamejam sana alitaka hata alale tu mansion leo but wazazi wakakataa. Becky akauliza Junior ama unaonaje babe, twende tu mansion? Junior akamwambia pia ni poa and maybe Amelia is right kuwa tumove in kwa Pupa. Becky akamwambia babe, si I thought we are on same page unaanza hivi gani ju mimi naangalia from a mother’s perspective na jua umenidissapoint,mimi huku sitoki. Junior akamwambia ni sawa but jus give it a thought.

Amelia amefika na Pupa,akaulizia Lexy akaambiwa yuko kwa room,akakimbia mbio akaenda huko, Pupa akauliza Sanchez rada? Sanchez akamwambia chorea tu bro but Pupa akamuuliza nichoree aje na hujaniambia?

Amelia ashafika kwa room yake,akauliza Lexy nini mbaya? Lexy akamuuliza,ulikua unajua Moh alitaka kuniua? Amelia kwanza akakaa chini vizuri,ju ni kweli aliua anajua but hakuambia Lexy until today.

Huku kwa Becky wakiwa hapo nje,Moh akafika akilia tu huku ameshika tumb. Junior alikua wa kwanza kumuona akamuuliza Moh shida ni nini,Moh analia tu,Junior akamshika akamleta hapo kwa mlango. Becky akamuuliza Mo h nini mbaya,Moh haongei,ju ile kitu alifanyiwa na Lexy si kizuri hata kidogo.

Amelia ilibidi aambie Lexy,hakuna venye ningekuambia na hukua unataka hata kuniona,hakuna venye ningekuambia plus hata hungeniamini iwapo ningekuambia. Lexy anaumwa ju kila mtu anajua ni yeye tu hakua anajua. Lexy akamuuliza mum mtu anataka kuua mtoto wako na huwezi fanya kitu,hata mimi vitu huwa nafanya siezi ua mtu but nikaamini Moh kuliko kila mtu kumbe alitaka kuniua alafu wewe madhe unaenda kumsamehe ama mimi si mtoto wako? Amelia akamwambia Iam sorry Lexy that you had to find it this way. Lexy alimwambia madhe ondoka, Niondokee I just want to be alone.

Amelia alikosa otherwise ashazoea kufukuzwa,ilibia aamke tu aende na akaambia Lexy,Iam sorry. Sanchez ashaelezea Pupa kila kitu na wakati Amelia alikuja,akauliza Sanchez kwani ni nini kuliendaje hadi ukasema kitu kama hiyo? Ni Moh alimpush to the wall.

Comment Here!!!!!!!!